Recordings
Arrangement
Verses
Soprano | Alto
- Utukuzwe ewe Baba Mungu Utukuzwe
- Kwani Yesu mfufuka ametualika.
- Tumepokea mkate mazao ya mashamba
- Ndio alama kwetu ya wema wako mkuu.
- Ni tunda la bidii ya mkono na ya moyo.
- Jalie uwe kwetu chakula cha uzima.
- Zawadi ya divai kutoka mizabibu.
- Ndiyo alama kwetu ya wema wako mkuu.
- Sifa kwako ee Mungu kwa kuotesha mkatee.
- Shukrani kwako, Baba kwa kutulisha sisi.
Soprano | Alto |Tenor | Bass
Alleluia a a
Chorus
Soprano | Alto
- Alleluia Utukuzwe.
- Baba muumba ulimwengu.
Tenor | Bass
- Utukuzwe.
- Alleluia a a