Utukuzwe

Utukuzwe

Language

Composer

interpretation

Notation

Recordings

Arrangement

Verses

Soprano | Alto

  1. Utukuzwe ewe Baba Mungu Utukuzwe
  2. Kwani Yesu mfufuka ametualika.
  3. Tumepokea mkate mazao ya mashamba
  4. Ndio alama kwetu ya wema wako mkuu.
  5. Ni tunda la bidii ya mkono na ya moyo.
  6. Jalie uwe kwetu chakula cha uzima.
  7. Zawadi ya divai kutoka mizabibu.
  8. Ndiyo alama kwetu ya wema wako mkuu.
  9. Sifa kwako ee Mungu kwa kuotesha mkatee.
  10. Shukrani kwako, Baba kwa kutulisha sisi.

Soprano | Alto |Tenor | Bass

Alleluia a a

Chorus

Soprano | Alto

  1. Alleluia Utukuzwe.
  2. Baba muumba ulimwengu.

Tenor | Bass

  1. Utukuzwe.
  2. Alleluia a a

Recordings

Arrangement

Verses

Soprano | Alto

  1. Utukuzwe ewe Baba Mungu Utukuzwe
  2. Kwani Yesu mfufuka ametualika.
  3. Tumepokea mkate mazao ya mashamba
  4. Ndio alama kwetu ya wema wako mkuu.
  5. Ni tunda la bidii ya mkono na ya moyo.
  6. Jalie uwe kwetu chakula cha uzima.
  7. Zawadi ya divai kutoka mizabibu.
  8. Ndiyo alama kwetu ya wema wako mkuu.
  9. Sifa kwako ee Mungu kwa kuotesha mkatee.
  10. Shukrani kwako, Baba kwa kutulisha sisi.

Soprano | Alto |Tenor | Bass

Alleluia a a

Chorus

Soprano | Alto

  1. Alleluia Utukuzwe.
  2. Baba muumba ulimwengu.

Tenor | Bass

  1. Utukuzwe.
  2. Alleluia a a

Notation

About

utukuzwe

Attribution

links

en_USEnglish